mercredi 9 février 2011

D Rop is back ........

Baada ya siku kadha amefanya uko nchini Tanzania, msani D Rop kutokeya kundi la wakali power amerudi kwa nguvu mpya katika game hili la Buja flava, apo ni baada tu ya kutowa nyimbo kadhaa, ikiwemo wimbo "Badoo" na zingine amefanya pekee yake chini ya maproducer tofauti apa Burundi.
Siku zilizopita, baada tu ya D Rop kujielekeza Tanzania, Jay Keyzo naye piya kuondoka, na msanii Black G kutangaza anaacha mziki ila nyuma akasema anarudi kwenye game, kundi hilo la "Wakali power" imeonekana kuzimika kabisa.
Ila tunaamini kuwa ujio wa D Rop utabadilisha mambo katika kundi hilo.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire