Siku zilizopita tuliwajulisha kama, baada ya kundi "Buja atr" kutowa filamu yao ya kwanza ijulikanayo kama "maisha kama game", kundi hilo kwa sasa likiongozwa na msani "Nduwimana Didier" wengi wanamutambua kama "Sugu Jay Tishio a.k.a Obama" piya na "sMC" a.k.a "Smart", limetowa ingine filamu ambayo imebeba jina la "KISA DEMU".
Kama munakumbuka, "kisa demu" ni nyimbo ya msanii huo "Sugu Jay", ambayo ameshirikisha msani "Bug Farious" ndani ya party 1, na "chanella " ndani ya party2. Kwa sasa ameamua kutowa filamu kutokana na jinsi mashabiki wake wamependa track hiyo. Sasa filamu hiyo ya "kisa dem" tayari wamemaliza kuitengeneza. siku zifwatazo itaingiya sokoni



Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire