jeudi 23 septembre 2010

Clip ya "my dear" inasifika


kimya kingi kinasababu. siku zilizopita, msanii Mr Happy ameonekana anazimika kabisa baada ya kutowa wimbo "baby" aloshirikisha Jay Fire. Kwa sasa bonge ya video  inaonekana mitahani; kila mwenye kuona anakubali. na video yenyewe ni " My dear". Na ametowa ingine wimbo ambaye ameshirikisha msani toka DSM, Mr Blu na msani wa apa R Flo.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire