Msani " Generencha bidondo" ambao wengi wanamutambua apa burundi kupitiya nyimbo zake tu nyingi, na kupitiya concert zake nyingi ambazo amefanya Burundi na ugenini, tayari albam yake ipo sokoni. Albam hiyo inabeba jina la " Asikutishe". Albam hiyo inapatikana pale Bwiza 6/61 kwa Alpha System Studio. Uzinduzi wa albam hiyo utakuwa apo " Iwabo wa bantu" ambapo pitashiriki wasani wengi kama Sat B, T Max, R Flo, Steven Sogo na wengine wengi .
Tuwakumbushe kuwa na msani Yoya iko anatayarisha albam yake ambayo atazinduwa siku zijazo.
mardi 12 avril 2011
"Iwacu ", albam ya "Emerysun"
Sasa mziki wa Burundi umechukuwa ingine njia nzuri ambayo tumekuwa tukiitaji toka dhamani. Baada ya kuwajulisha albam " Inkuru y'ukuri" ya Sat B, na ya Giterolax, msanii " Emerysun" wengi wakimutambuwa kupitiya nyimbo zake kadha kama "genda umwire", "ihorere", "nyegera", " urukundo rw'amaso", na zingine nyingi ameshirikisha wasani tofauti, kwa sasa msani huo amemaliza albam yake ikibeba jina la " Iwacu" ambayo ametumika apo MA Production chini ya producer Amir. Albam hiyo inabeba nyimbo 10, na nyimbo 3 ambazo ameziita za bonus.
Albam hiyo itazinduliwa apo tarehe 6/5/2011 ku Havana, na tarehe 8/5/2011 apo Musée Vivant. Tuwakumbushe kuwa huo ni ungine msani, Amir anasaidiya baada ya msani Sat B. Pongezi sana kwa Amir.
Albam hiyo itazinduliwa apo tarehe 6/5/2011 ku Havana, na tarehe 8/5/2011 apo Musée Vivant. Tuwakumbushe kuwa huo ni ungine msani, Amir anasaidiya baada ya msani Sat B. Pongezi sana kwa Amir.
Rally Joe, "Isanganiro Award 2011"
Msani anajulikana kama "Rally Joe" ambaye japo jina alijatambulika kwa sana, ila wengi munamutambua kupitiya nyimbo " Tatizo soko" akishirikishwa na T Max, na kupitiya piya band "Hop Street" ikiongozwa na msani "Steven Sogo", ndiye amebeba " Isanganiro awards" ya huu mwaka kupitiya nyimbo yake " Reka ntahe" ambayo ametengenezeya Hope Studio chini ya producer Adomix, apo tu ni baada ya kumushinda msani Sat B amba amechukuwa place ya 2 kupitiya nyimbo yake " Inkuru y'ukuri", ya wengine wengi kama "David" huo ni msani wa Gospel, Etoile du Centre kupitiya nyimbo yao " Sorry", na Farious kupitiya nyimbo yake "Nataka wajuwe".
Iyo inasaidiya kufanya wasani wa apa Burundi watumike na bidii. Tunamupongeza msani huo, na piya tunapongeza radio Isanganiro kuwaza kitu kama icho, kupitiya watangazaji wao " Excellent Nim" na "Cynthia" kupitiya kipindi " Uburundi buraririmba".

mercredi 9 février 2011
filamu ya " kisa demu" tayari imemalizika
Siku zilizopita tuliwajulisha kama, baada ya kundi "Buja atr" kutowa filamu yao ya kwanza ijulikanayo kama "maisha kama game", kundi hilo kwa sasa likiongozwa na msani "Nduwimana Didier" wengi wanamutambua kama "Sugu Jay Tishio a.k.a Obama" piya na "sMC" a.k.a "Smart", limetowa ingine filamu ambayo imebeba jina la "KISA DEMU".
Kama munakumbuka, "kisa demu" ni nyimbo ya msanii huo "Sugu Jay", ambayo ameshirikisha msani "Bug Farious" ndani ya party 1, na "chanella " ndani ya party2. Kwa sasa ameamua kutowa filamu kutokana na jinsi mashabiki wake wamependa track hiyo. Sasa filamu hiyo ya "kisa dem" tayari wamemaliza kuitengeneza. siku zifwatazo itaingiya sokoni

"LOLILO" bado angali kwenye game ya muziki
Msani " NIYONZIMA Nasor" akijulikana "LOLILO", baada tu ya kufanya vizuri kwenye mziki huu wa buja flava kupitiya album zake kama "Ishari" na zingine, na nyuma tu ya kuonekana amezimika baada ya kujielekeza uko inchini Belgium, msani LOLILO amerudi katika game hili. Apo ni baada ya kuweka kupitiya facebook baadhi ya nyimbo zake zikiwa ndani ya albam yake mpya ikijulikana kama "Mama". Ndani ya albam hiyo, tunakuta ndani nyimbo kama "Honney", "la vie", "my choise", "nuntorane" na zingine.
D Rop is back ........
Baada ya siku kadha amefanya uko nchini Tanzania, msani D Rop kutokeya kundi la wakali power amerudi kwa nguvu mpya katika game hili la Buja flava, apo ni baada tu ya kutowa nyimbo kadhaa, ikiwemo wimbo "Badoo" na zingine amefanya pekee yake chini ya maproducer tofauti apa Burundi.
Siku zilizopita, baada tu ya D Rop kujielekeza Tanzania, Jay Keyzo naye piya kuondoka, na msanii Black G kutangaza anaacha mziki ila nyuma akasema anarudi kwenye game, kundi hilo la "Wakali power" imeonekana kuzimika kabisa.
Ila tunaamini kuwa ujio wa D Rop utabadilisha mambo katika kundi hilo.

Inscription à :
Articles (Atom)