jeudi 11 novembre 2010

Mkombozi, tayari yuko burundi.

Baada ya siku nyingi amefanya uko nchini Tanzaniya, msani Thomas akijulikana kama "Mkombozi" amerudi apa nchini ambapo amekuja na zawadi kwa washabiki wake. zawadi yenyewe ni bonge la nyimbo ambayo ametumika na msani kutoka uko DSM akijulikana kama "Alikiba",  nyimbo hiyo ikijulikana kama "East african Queen", naamini watu ambao wameshiriki ku show ya uzinduzi wa album ya "Sat B" wamepata fulsa ya kuisikia. sasa msani huyo, ametayarisha show apo "Gitega" week-end hii, akishirikiyana na msani Allan kutoka kigali-Rwanda. Inasemekana kuwa msani huo "Mkombozi" anaweza rudi uko tanzaniya.

Idem pour www.tishiocmm.unblog.fr

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire