Msani " NIYONZIMA Nasor" akijulikana "LOLILO", baada tu ya kufanya vizuri kwenye mziki huu wa buja flava kupitiya album zake kama "Ishari" na zingine, na nyuma tu ya kuonekana amezimika baada ya kujielekeza uko inchini Belgium, msani LOLILO amerudi katika game hili. Apo ni baada ya kuweka kupitiya facebook baadhi ya nyimbo zake zikiwa ndani ya albam yake mpya ikijulikana kama "Mama". Ndani ya albam hiyo, tunakuta ndani nyimbo kama "Honney", "la vie", "my choise", "nuntorane" na zingine.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire