mardi 8 février 2011

Sat B akafanya ajali.

Ni habari za kusikitisha.
Msanii Sat b ambaye siku zilizopita na hadi sasa anaonekana kutambulika sana katika mziki huu wa Buja flava apo ni baada tu ya kutowa albam yake ikibeba jina la " Inkuru y'ukuri", leo amepata ajali, apo ni wakati akiwa anabeba moto, akagongana na gari. Inasemekana ameumiya sana, ila baada tu ya iyo ajali, amejielekeza hospitali, ambapo amepata matibabu madogo na akaamuwa kuenda uguliya nyumbani. Tunamupa pole msani huo.
Tuwakumbushe kuwa, siku zilizopita, msanii huo Sat B amekuwa ametowa zingine nyimbo kadhaa, apo tunaweza taja kama wimbo "Bujumbura soo" ambayo inapendwa na wengi apa Bujumbura.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire