mercredi 12 janvier 2011

"Nagasaga Matata Nagasaga ......................"

"Nagasaga Matata Nagasaga ......................, iyo ndio maneno ya nyimbo ambayo imekusanya wasani tofauti wa apa Burundi, wa Rwanda ata na wengine ambao wamekuwa karibu na Msani Matata jean Christophe, kwa kumuimbiya msani huyo Nyimbo imebeba mashahiri ya uzuni, imekusanya wasani wengi kama John Chris, Steven Sogo, Riziki, Wadada zake wa wili na watoto wa Christophe Matata, bashir , Masamba na wengine wengi. Tuwakumbushe kuwa maiti ya Christophe Matata imefika leo apa Burundi, imekuwa imepokelewa na watu wengi wakiwemo wasani tofauti. Mazishi itakuwa kesho tarehe 13 Januari 2011.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire