dimanche 30 janvier 2011
Kuna nini kati ya Elvis Mapozi na Sat B?
Siku zilizopita, imeonekana piko kutoelewana kati ya msani Elvis Mapozi ambaye anajulikana kupitiya nyimbo yake "achana naye" na msani Sat B ambaye kwa sasa anajulikana sana apa inchini burundi kupitiya album yake "inkuru y'ukuri". kisa ya yote nini, msani Elvis anadayi kuwa Sat B ametumiya mashahiri yake bila kumujulisha. Msani Elvis Mapozi , kupitiya mu nyimbo yake "sema nao" ambaye amekuwa ameshirikisha huo, msani Sat B, na wengine, ameimba kuwa "umwana w'umusenzi ntazigera aba umushenzi", sasa anadayi kuwa Sat B piya ametumiya ilo neno kupitiya nyimbo yake mpya ikijulikana kama "Bujumbura so". Msani Sat- B amedahi kuwa iyo neno ambalo amekua ikisikiya bado angali mudogo, na kuwa amesema ivo ni kumu support msani Mapozi . Ila imeonekana kuwa mashabiki awakufurahiya iyo chuki iko kati ya awo wasani, wamesikika radio CCIB Fm + chini ya mtangazaji Landry Mugisha.
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire