lundi 20 septembre 2010

Wako wapi?

Myaka iliyopita, kuna wasani fulani wametamba kwa nyimbo zao tofauti, ila baada ya myezi midogo tu awakusikika tena. Kila mwezi tutajitaidi kuwawakumbusha. Wacha tuanzie kwa msani NJ.

Msani NJ toka KOBERO wengi munamujuwa kupitiya nyimbo yake UTUJEDE ambayo imetamba kabisa, na wimbo wake kama  "NO MONEY NO LIFE" ambapo amemushirikisha DOGO A. Sasa amezimika kabisa. Inasemekana kuwa iko nchini Uganda ambapo anafanya business. So, nikytafuta maisha.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire