mardi 5 octobre 2010

Filamu ya maisha kama game yaendeleya kutangazwa

Baada ya vipindi aliyofanya kupitiya radio tafauti kama Isanganiro, RPA na Bonesha FM, msani Sugu Jay ametembeleya leo tarehe 5/10/2010 radio inatambulika sana kama Remaa FM kupitiya kipindi " nani mwanamziki" chini ya mtangazaji " dj shanny". kupitiya ico kipindi , ameongeleya kwa mara nyingine kuusu filamu yao ya "maisha kama game" piya kuusu mziki. kama alivosema kupitiya mengine ma radio, filamu hiyo tayari imeisha tengenezwa piya na michezo ya kupiga vita ukimwi, ijulikanayo kama "hodi hodi", kwa sasa kinachobaki nikuangaliya jinsi ya kuuza filamu hiyo. Tuwakumbushe kwamba amekuwa pamoja na ungine muigizaji wa kundi lao la "buja art"

    Ilipofika saa tisa kamili, msanii Sugu Jay amejielekeza piya radio ya taifa, ambapo amesikika kupitiya kipindi "nyota ya msani"  chini ya mtangazaji " ali bilali". kupitiya kipindi icho, ambapo amekuwa pamoja na msani Mr Happy, wameonyesha jinsi msani anaweza pata kitu fulani kupitiya sana yake bila kutumiya dawa, kama anaamini kuwa iko na kipaji. Kupitiya icho kipindi, msani Sugu Jay amepata piya fulsa ya kuongeleya filamu yao ya "maisha kama game" na mziki wake "first love", Mr Happy naye amepata fulsa yakuongeleya nyimbo yake mpya "shamila" ameshirikisha msani toka DSM "Mr blu"


Idem pour http://www.tishiocmm.unblog.fr/

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire