mardi 5 octobre 2010

Sugu jay ndani ya Radio Culture

Bado ajamaliza.  msani Sugu Jay Tishio anaendeleya kutangaza filamu yao "maisha kama game". Baada ya kufanya vipindi hii leo kwenye radio Remaa Fm saa 2 mchana, na Radio ya taifa saa 9 mchana, msani Sugu Jay amesikika piya leo tarehe 5/10/2010 radio utamaduni (radio culture) kupitiya kipindi " burundi flava" chini ya mtangazaji " Amidou Hassan", akiwa pamoja na Smart na Halidi, kutokeya kundi hilo la "buja art" mbele imekuwa ikijulikana kama " uhuru star". Kupitiya icho kipindi, imeonekana mashabiki wana hamu ya kuona filamu hiyo, ambayo publicity ishaanza kuonekana kupitiya ata ma sim ambayo yako na bluetooth. Basi kundi hilo limeakikisha kuwa baada ya siku 20 watajuwa jinsi filamu iyo itauzwa.

Idem pour http://www.tishiocmm.unblog.fr/

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire